Katika bunge la Wawakilishi lililojaa huko Capitol Hill, rais wa 33 wa Marekani, Harry Truman, akiwa na miaka 62, miwani ya mviringo, suti nyeusi na tai ya mistari, alifungua faili lake jeusi ambalo ...
Mafundisho kuhusu mahusiano na ngono shuleni huibua mjadala ,lakini daktari mmoja huko Wales Uingereza anasema Watoto kuanzia umri wa miaka kumi na moja wanajifunza kupitia mitandao na video za ...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amebadilisha idara za mafundisho ya kiimani, ambazo pamoja na kukuza na kutetea mafundisho ya Kikatoliki pia zitakuwa na jukumu la kushughulikia kesi ...